Nataka kusoma kozi ya civil draught VETA

Zeru

Senior Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
186
Reaction score
64
Habari za mchana ndugu zangu,

Baada ya hizi changamoto za ajira nimeona ni bora niende VETA nikawe hata na fani maana nina diploma ya utawala, sasa nimeona ni bora niende hata VETA nikapige level 1 had 2 ikibidi kwa kozi ya civil draught kuliko kwenda degree.

Ndugu zangu naombeni ushauri je, nipo sahihi kuhusu hili?
 
Habari za mchana ndugu zangu,

Baada ya hiz changamoto za ajira nimeona ni bora niende VETA nikawe hata na fani maan nina diploma ya utawala, sasa nimeona ni bora niende hata veta nikapige level 1 had 2 ikibid kwa kozi ya Civil Draught kuliko kwenda degree. Ndugu zangu naomben ushauri: je, nipo sahihi kuhusu hili?
 
Sahihi kabisa
Habari za mchana ndugu zangu,baada ya hiz changamoto za ajira nimeona ni bora niende veta nikawe hata na fani maan nina diploma ya utawala,sasa nimeona ni bora niende hata veta nikapige level 1 had 2 ikibid kwa kozi ya civil draught kuliko kwenda degree,ndugu zangu naomben ushauri je nipo sahihi kuhusu hili?
 
Habari za mchana ndugu zangu,

Baada ya hizi changamoto za ajira nimeona ni bora niende VETA nikawe hata na fani maana nina diploma ya utawala, sasa nimeona ni bora niende hata VETA nikapige level 1 had 2 ikibidi kwa kozi ya civil draught kuliko kwenda degree.

Ndugu zangu naombeni ushauri je, nipo sahihi kuhusu hili?
Nakushauri kapige kozi ambayo haina changamoto sana kitaa,mia mia hautakosa,kapige umeme wa magari si unajua sasaivi gari nyingi automatic sio manual,kwaiyo nusu ya mifumo ya gari ndani ni waya za umeme
 
Habari za mchana ndugu zangu,

Baada ya hiz changamoto za ajira nimeona ni bora niende VETA nikawe hata na fani maan nina diploma ya utawala, sasa nimeona ni bora niende hata veta nikapige level 1 had 2 ikibid kwa kozi ya Civil Draught kuliko kwenda degree. Ndugu zangu naomben ushauri: je, nipo sahihi kuhusu hili?
Civil draught, hii utafanya kazi ipi sasa chief?..maana kila civil engineer ansfanya draughting.... Sio kila aliefanikisa kaenda school
 
Na

Naelew mkuu ila nimeon niwe n fani,ulikuw unanishaurije ndugu yangu kuhusu hii kozi niachane nayo au nifate kozi nyingine?
 
Nakushauri kapige kozi ambayo haina changamoto sana kitaa,mia mia hautakosa,kapige umeme wa magari si unajua sasaivi gari nyingi automatic sio manual,kwaiyo nusu ya mifumo ya gari ndani ni waya za umeme
Huk kwetu nilipi koz hii haitolewi nielenda maan nik dodoma 😥

Yaan mpk dar es salaam lbd n mikoa tofauti lkn hap kwa dodoma haipo kbsa ndugu yangu
 
Habari za mchana ndugu zangu,

Baada ya hizi changamoto za ajira nimeona ni bora niende VETA nikawe hata na fani maana nina diploma ya utawala, sasa nimeona ni bora niende hata VETA nikapige level 1 had 2 ikibidi kwa kozi ya civil draught kuliko kwenda degree.

Ndugu zangu naombeni ushauri je, nipo sahihi kuhusu hili?
Nenda mbeya tech badala ya kusoma drafting pata diploma ya architecture ili upambane mtaani

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ukitaka kufanya jambo usiwe unajiuliza uliza sana .Nenda haraka sana mambo mengine yatakaa sawa mbele ya safari huko.Simu moja tu tukutane Bank.
 
Qualification zitaniondoa mchezon kiongoz maana nilisoma arts,pia kweny issue y ada naon kam nichangamoto maana kuna kaela nimekapata kam laki sita nimeona kweny kusom veta ni cheap kidogo maan ada yao n elfu 60 kwa mwaka
 
Mkuu ukitaka kufanya jambo usiwe unajiuliza uliza sana .Nenda haraka sana mambo mengine yatakaa sawa mbele ya safari huko.Simu moja tu tukutane Bank.
Sahihi kiongoz inabd nijitose tu hivyo hivyo tu
 
Mi nakushauri sana auto electrical (umeme wa magari) ndo nzuri sawa hata Kama hapo ulipo haipo tafuta veta ya karibu iliyonayo kasome. Pia chonde chonde usiende kuisoma kutafuta cheti upate kazi ipende alafu uwe mfuatiliaji sana na utundu mwingi utakuja kutoa mrejesho siku moja. Kimsingi wakati unaifanyia kazi ukawa na ujuzi wa utumiaji wa kompyuta utakuwa umekamilika hasa kufanya troubleshooting. Sasa hivi hata mitambo mikubwa ni mwendo wa electronics nakushauri sana pambana na auto electrical au kasome electronics.
 
Hiyo hela ulonayo Fikiria biashara fanya...
Utanishukuru baadae achana na hayo unauowaza.
 
Back
Top Bottom