Habari za mchana ndugu zangu,baada ya hiz changamoto za ajira nimeona ni bora niende veta nikawe hata na fani maan nina diploma ya utawala,sasa nimeona ni bora niende hata veta nikapige level 1 had 2 ikibid kwa kozi ya civil draught kuliko kwenda degree,ndugu zangu naomben ushauri je nipo sahihi kuhusu hili?
Nakushauri kapige kozi ambayo haina changamoto sana kitaa,mia mia hautakosa,kapige umeme wa magari si unajua sasaivi gari nyingi automatic sio manual,kwaiyo nusu ya mifumo ya gari ndani ni waya za umemeHabari za mchana ndugu zangu,
Baada ya hizi changamoto za ajira nimeona ni bora niende VETA nikawe hata na fani maana nina diploma ya utawala, sasa nimeona ni bora niende hata VETA nikapige level 1 had 2 ikibidi kwa kozi ya civil draught kuliko kwenda degree.
Ndugu zangu naombeni ushauri je, nipo sahihi kuhusu hili?
Wadau wapo kimya ndugu😥😥Wadau njoeni mumjibu kijana
Civil draught, hii utafanya kazi ipi sasa chief?..maana kila civil engineer ansfanya draughting.... Sio kila aliefanikisa kaenda schoolHabari za mchana ndugu zangu,
Baada ya hiz changamoto za ajira nimeona ni bora niende VETA nikawe hata na fani maan nina diploma ya utawala, sasa nimeona ni bora niende hata veta nikapige level 1 had 2 ikibid kwa kozi ya Civil Draught kuliko kwenda degree. Ndugu zangu naomben ushauri: je, nipo sahihi kuhusu hili?
Inahusiana na uchoraj wa ramani za nyumba nduguInahusu nn hiyo Kozi?
Naelew mkuu ila nimeon niwe n fani,ulikuw unanishaurije ndugu yangu kuhusu hii kozi niachane nayo au nifate kozi nyingine?Civil draught, hii utafanya kazi ipi sasa chief?..maana kila civil engineer ansfanya draughting.... Sio kila aliefanikisa kaenda school
Huk kwetu nilipi koz hii haitolewi nielenda maan nik dodoma 😥Nakushauri kapige kozi ambayo haina changamoto sana kitaa,mia mia hautakosa,kapige umeme wa magari si unajua sasaivi gari nyingi automatic sio manual,kwaiyo nusu ya mifumo ya gari ndani ni waya za umeme
Nakushauri kapige kozi ambayo haina changamoto sana kitaa,mia mia hautakosa,kapige umeme wa magari si unajua sasaivi gari nyingi automatic sio manual,kwaiyo nusu ya mifumo ya gari ndani ni waya za umeme
Yaan mpk dar es salaam lbd n mikoa tofauti lkn hap kwa dodoma haipo kbsa ndugu yanguHuk kwetu nilipi koz hii haitolewi nielenda maan nik dodoma 😥
Nenda mbeya tech badala ya kusoma drafting pata diploma ya architecture ili upambane mtaaniHabari za mchana ndugu zangu,
Baada ya hizi changamoto za ajira nimeona ni bora niende VETA nikawe hata na fani maana nina diploma ya utawala, sasa nimeona ni bora niende hata VETA nikapige level 1 had 2 ikibidi kwa kozi ya civil draught kuliko kwenda degree.
Ndugu zangu naombeni ushauri je, nipo sahihi kuhusu hili?
Qualification zitaniondoa mchezon kiongoz maana nilisoma arts,pia kweny issue y ada naon kam nichangamoto maana kuna kaela nimekapata kam laki sita nimeona kweny kusom veta ni cheap kidogo maan ada yao n elfu 60 kwa mwakaNenda mbeya tech badala ya kusoma drafting pata diploma ya architecture ili upambane mtaani
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Sahihi kiongoz inabd nijitose tu hivyo hivyo tuMkuu ukitaka kufanya jambo usiwe unajiuliza uliza sana .Nenda haraka sana mambo mengine yatakaa sawa mbele ya safari huko.Simu moja tu tukutane Bank.