Nataka kusoma online master finance katika hiki chuo EDINGBURG COLLEGE OF BUSINESS - TANZANIA

nofal

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
220
Reaction score
23
Wadau naombeni kujua uhalisia wa hicho chuo, kinatambulika hapa kwetu tanzania ??
vp shule yake ni ya ukweli ?
 
Wadau naombeni kujua uhalisia wa hicho chuo, kinatambulika hapa kwetu tanzania ??
vp shule yake ni ya ukweli ?

Kaulize tcu upate taarifa sahihi.
Pia sikushauri kufanya masters ya online kwan waajiri wengi hawakubali. Ila km upo kwenye ajira ya kudumu unaweza kusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…