Nataka kusomea udereva wa magari ya mkoani na malori

Nataka kusomea udereva wa magari ya mkoani na malori

Mbagala Tz

Member
Joined
Mar 16, 2017
Posts
57
Reaction score
42
Wadau wa JF,

Nahitaji kusomea udereva wa hayo mavitu tajwa hapo juu, hebu nipeni maneno mawaili matatu niende wapi na utaratibu uko vipi, na muda wa kusoma mpaka nimalize hiyo course na kupata driving license. Najua humu ndani mpo mnaojua hivi vitu au pia kwa wenye uzoefu huo nipeni mawili matatu wadau.

Mimi niko Dar hapa na sijawahi kusomea udereva wa aina yoyote ile.
 
Malori nenda chuo cha usafirishaji dsm mabibo. Ila hayo ya mikononi sijaelewa unataka ya mkoa upi
 
Kwanza anza kukaa karibu navyo hivyo vyombo...develop an interest then pitia VETA au NIT ..pata experience na exposure kama miaka mitatu ukiangalia na Ku operate then rudi humu 2020 utupie mrejesho
 
Mkuu nenda veta pale

Lkn umesema haujawahi kusoma ngazi yoyote ya udereva kwahyo ni lazima uanze na ngazi ya chini ambayo ni Basic hii basic ni ya gari ndogo ukipata leseni ya gari ndogo ndipo utachagua usome Public social service (PSV) yani gari za abilia ama usome ya Tracks

Ni laki moja na sabini na tano 175000/= tu ngazi ya chini hizo zingine cjajua ada yake maana kdg hua inakua tofauti
 
Wow.... Asante sana rafik kumbe natakiwa nianze kupiga basic.... Nmekuelewa mkuu nashukuru sana
 
Kwanza anza kukaa karibu navyo hivyo vyombo...develop an interest then pitia VETA au NIT ..pata experience na exposure kama miaka mitatu ukiangalia na Ku operate then rudi humu 2020 utupie mrejesho
Hahaha.... Me interest ninayo sema nlkuwa cjapata chance tu ya kusomea now ndo nataka nisomee
 
Jifunze kuendesha tuu bila kusomea maana madereva wa magari makubwa na mabasi ya mikoani mgomo ni sehemu ya ajira yao
 
Back
Top Bottom