Mbagala Tz
Member
- Mar 16, 2017
- 57
- 42
Na ndo wanaoongozaMadereva wakutokea chuoni siyo wazuri. Dereva utokee kwenye utingo au day waka.
Wow.... Asante sana rafik kumbe natakiwa nianze kupiga basic.... Nmekuelewa mkuu nashukuru sanaMkuu nenda veta pale
Lkn umesema haujawahi kusoma ngazi yoyote ya udereva kwahyo ni lazima uanze na ngazi ya chini ambayo ni Basic hii basic ni ya gari ndogo ukipata leseni ya gari ndogo ndipo utachagua usome Public social service (PSV) yani gari za abilia ama usome ya Tracks
Ni laki moja na sabini na tano 175000/= tu ngazi ya chini hizo zingine cjajua ada yake maana kdg hua inakua tofauti
Anhaa Asante sana rafik.... Ntafanyia kaz uliyonambiaNenda chuo cha usafirishaji mabibo ukijua kuendesha na ukipata license yako nenda ukawe utingo kwa mwaka mmoja ili upate uzoefu ....... Then anza kutuma cv
Hahaha.... Me interest ninayo sema nlkuwa cjapata chance tu ya kusomea now ndo nataka nisomeeKwanza anza kukaa karibu navyo hivyo vyombo...develop an interest then pitia VETA au NIT ..pata experience na exposure kama miaka mitatu ukiangalia na Ku operate then rudi humu 2020 utupie mrejesho