Nataka kuspecialize Nina Diploma ya Nursing Nifanyeje ?

Nataka kuspecialize Nina Diploma ya Nursing Nifanyeje ?

BENJA1

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
39
Reaction score
8
Heshima kwenu wakuu naomba kufahamu ni course ip? nzuri kwenda kusomea degree kwa mtu mwenye Diploma ya nursing anayetaka kuwa special na kitengo fulani?
 
Naona kama physiotherapy inalipa sana. Tunafanya sio kwa matibabu tu lakini kwa sababu ya lifestyle watu wengi wanajikuta wanahitaji proffessional massage. Kuna chance ya kutoa home based care pia.

Kila la kheri
 
Kusomea hyo taaluma inabidi huwe na vigezo gani mkuu
 
Unaweza pia kusomea social work. Ukiwa na diploma ya nursing unaingia kirahisi shahada ya Social work. Ukijiunga chuo Kikuu Huria cha Tanzania huhitaji likizo ya masomo, unaweza kusoma ukiwa kazini, mahali popote duniani.
 
Back
Top Bottom