Chuda Kashara
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 849
- 555
Asante Mkuu.Neno kuntu
Safi sana Boss wangu,....nitafikiria pendekezo lako.Simple, iite "Bandia"
Zitafanana halafu nigundulike.Kashara chuda
Hiyo hapana.kiatu kunuka
Nani anapenda kufa?Jiitee KUFAKUNOGA
Sasa tukikupa jina si tutakugundua tuuZitafanana halafu nigundulike.
Mshan jrMabibi na Mabwana wa jukwaa Salaam.
Umekuwepo uhitaji wa kuwa na ID ya pili kutokana na sababu zilizopo nje ya uwezo wangu.
Tatizo napata shida ya kubuni username bandia, nimekuja kwenu kuomba ushauri.
Je ungependa niipe hii ID mpya jina gani?,,,,,,,Karibuni kwa mapendekezo.
Asante sana mtaalam, Power saver limetulia.Me napendekeza iite Mwendokasi au mwendo tu. Au Mr. Kurasa au power saver