Nataka kutoa Thermostat kwenye gari, naomba ushari wenu

Nataka kutoa Thermostat kwenye gari, naomba ushari wenu

Kisendi

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Posts
699
Reaction score
179
Habari wanaJF,

Naomba kujua kuna faida ipi na hasara ipi ukitoa thermostat kwenye gari yako hasa ikiwa iko maeneo ya Pwani. Maana kuna fundi alinishauri nitoe kutoka na hali ya joto kwa mikoa ya pwani.

Nashukuru.
 
Yaani ukikaa pwani unatoa thermostart. Ukienda bara utatoa rejeta. Acha upuuzi. Husithubutu kutoa hicho kitu ni muhimu sana kwenye gari. Ili gari litumie mafuta vzr lazma liwe na optimum temp. hiyo thermo ni muhimu kubalance joto.
 
Hii knowledge sikuwa naifaham. Thanks!
 
Asante RUSHANJU. Kujua ni vizuri. Hawa mafundi wetu uchwala... ni shida sana.
 
Elimu hii muhimu sana.mafundi wengi wamashauri kutoa
 
Back
Top Bottom