Naomba kujua kuna faida ipi na hasara ipi ukitoa thermostat kwenye gari yako hasa ikiwa iko maeneo ya Pwani. Maana kuna fundi alinishauri nitoe kutoka na hali ya joto kwa mikoa ya pwani.
Yaani ukikaa pwani unatoa thermostart. Ukienda bara utatoa rejeta. Acha upuuzi. Husithubutu kutoa hicho kitu ni muhimu sana kwenye gari. Ili gari litumie mafuta vzr lazma liwe na optimum temp. hiyo thermo ni muhimu kubalance joto.