Nataka kutoka na mdada wa kizungu!

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
1,504
Reaction score
2,272
Nipeni somo wazoefu mliowahi kutoka na wazungu (wadada kutoka mataifa ya ulaya)

Nawaonaga tu mitaani, nianzie wapi? [emoji848]
 
Wale wanatuona kama sisi ni Kima vile sasa sijui kima wewe utaanzaje kumtongoza mtu.
 
Kisima tofauti ila maji ni yale yale
 
Naskiaga hao ni kama wanyaturu warangi unajipigia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…