Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna benki za India zina matawi mpaka bongo, mtumie pesa zitafika.naomba ushauri ya kutuma pesa india ya matumizi ya mwanafunzi bila kupitia wester union maana wana makato makubwa je kuna kampuni nyingini ya kutuma pesa india
Mtumie kwa paypal safe, fast and secure. Au mtumie via WiseKuna benki za India zina matawi mpaka bongo, mtumie pesa zitafika.
Au mwambie afungue account barclays bank.
Naomba ushauri ya kutuma pesa India ya matumizi ya mwanafunzi bila kupitia wester union maana wana makato makubwa je kuna kampuni nyingini ya kutuma pesa India?
Inamfikia direct kwenye bank au mpesa za ukoTuma kwa Airtel
Mpesa gn mkuu mbn unachanganya habariInamfikia direct kwenye bank au mpesa za uko
Naenda kesho kutwa, nipe nimpelekee mkuu
Unaambiwa kwa nia njema unajibu kwa kebehi. Haya mkuunjoo nikupe umpelekee uje ulale kwangu kesho yake mimi nitakupeleka air port utakua umenisaidia sana. naishi mwenyewe tu tena mimi ni mwarabu
Tatizo hapo ni exchange rate ndo unapujwa tumia airtel money kwa kutuma pesa kuenda nje ya nchi na yenyewe poa kdgoMfungulie visa account ya CRDB na hii itamuwezesha kutoa hela kule kule India bila tatizo kwenye mabenki ya kule. Wewe utakuwa unamuwekea hela za Kitanzania kwenye akaunti yake ya visa akaunti ya CRDB hapa hapa nchini na kule atatoa bila tatizo.
Kwamba ukituma kupitia airtel money inafika kwenye mobile money za huko au unatuma from airtel to benk za hukoMpesa gn mkuu mbn unachanganya habari
Mwambie afungue canara bank wanarate nzuri sana..Sema hao jamaa ni hatari sana wanapolicy ngumu sana kutoa hela kwao kuliko kuingiza,almost impossible.Naomba ushauri ya kutuma pesa India ya matumizi ya mwanafunzi bila kupitia wester union maana wana makato makubwa je kuna kampuni nyingini ya kutuma pesa India?
Kwahiyo unaweza kumtumia pesa kwenda nje ila yeye awezi kukutumia?Mwambie afungue canara bank wanarate nzuri sana..Sema hao jamaa ni hatari sana wanapolicy ngumu sana kutoa hela kwao kuliko kuingiza,almost impossible.
Mwanzo nilicomment tu.Kwamba ukituma kupitia airtel money inafika kwenye mobile money za huko au unatuma from airtel to benk za huko
Ni ngumu sana kutoa hela India kwenda nje especially kwa foreigner na kuna wabongo wameanza kuwa mawakala nasikia ukitaka hela huku anakuwa na mtu wake anakupa yeye unampa kule.Kwahiyo unaweza kumtumia pesa kwenda nje ila yeye awezi kukutumia?
NimekupatAMwanzo nilicomment tu.
Nakushauri tumia
MoneyGram, western union au worldremit.
Mbwembwe zingine achana nazo utapoteza pesa bure