Ni ngumu sana kutoa hela India kwenda nje especially kwa foreigner na kuna wabongo wameanza kuwa mawakala nasikia ukitaka hela huku anakuwa na mtu wake anakupa yeye unampa kule.
Nakumbuka nilitumiwaga hela kutoka Omani,yeye sijajua alitumia njia gani,alinitumia risiti tu kwenye wasap akaniambia niende Boa nikaonyesha meseji wakanipatia hela yangu