Nataka kutumia Viagra

Nataka kutumia Viagra

SHIGOTTO

Senior Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
156
Reaction score
282
Ndugu wapendwa habari za jioni hiii, nimekuja kwenu kutafuta kujuzwa kuhusu utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume (viagra).

Jana nilipatwa na mshituko kwani nilikwenda kwenye mambos na mpenzi wangu wa siku zote na katika kuhitimisha mambo yetu kila kitu kilienda sawa kwenye romance na mzee alikuwa yuko ngangari kabisa.

Wakati tunaendelea na roms nikafika wakati wa kufanya mambo nilishangaaa stimu ilitoka kabisa kichwani na mambo yakawa mabovu ghafla, nilijitahidi kurudi mchezoni lakini sikufanikiwa kwani nilipatwa na msongo wa hali ya juu kuhusu hali ile na kwa vile muda ulikuwa haurusu basi shughuli ilishia hapo hapo.

Je, naweza kujuzwa ni jinsi gani viagra inavyoweza saidi katika hali kama hii?

Nawakilisha
 
sasa ukenge wangu nini si tunapeana ushauri tuuu ndugu, kama unavyoniambia nakuelewa mbona!
Ukenge wako kuja kuomba ushauri wakati ushatia mguu mmoja ndani.. Ungekuja hapa ukaelezea tatizo, watu wakushauri, sasa hapo unasema unataka kutumia viagara si ndio unajimaliza kabisa.
 
Achana na masildenafil..kama ni stress za siku moja relax jiamini unaweza kupeleka moto fresh..relax mambo yatakuwa poa.

Ukitumia viagra ndo unatengeneza dependence(utegemezi) wa kudumu hivyo..na pia kama una matatizo ya moyo na pressure ni kama unajitafutia kifo.
 
Kuna thread nying mno z hii kesi na zinazofann n hii.. Kila siku wanasema wataalamu huwez kuijaji siku 1 kwa upunguf w nguv z kiume
Unafanya kaz gan kwanz nianglie 'risk factor'
 
Kuna thread nying mno z hii kesi na zinazofann n hii.. Kila siku wanasema wataalamu huwez kuijaji siku 1 kwa upunguf w nguv z kiume
Unafanya kaz gan kwanz nianglie 'ris
Mimi nipo kwenye IT Industry kaka
 
Viagra inasabanisha pressure kupanda ili kuhakikisha damu inaongezeka kwenye penis, kwa kuimarisha erection. Unategemea moyo kulazimishwa kusukuma damu kwa wingi na una pressure ya kupanda inakuwaje?
 
Kuna thread nying mno z hii kesi na zinazofann n hii.. Kila siku wanasema wataalamu huwez kuijaji siku 1 kwa upunguf w nguv z kiume

Mimi nipo kwenye IT Industry kaka
Anhaaa how long you work a day!? It may be there's immediate situational reasons... Imejirudia mara ngap!?
 
🤣🤣🤣viagra labda alkasus huko utazima ipo siku
 
Ndugu wapendwa habari za jioni hiii, nimekuja kwenu kutafuta kujuzwa kuhusu utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume (viagra).

Jana nilipatwa na mshituko kwani nilikwenda kwenye mambos na mpenzi wangu wa siku zote na katika kuhitimisha mambo yetu kila kitu kilienda sawa kwenye romance na mzee alikuwa yuko ngangari kabisa.

Wakati tunaendelea na roms nikafika wakati wa kufanya mambo nilishangaaa stimu ilitoka kabisa kichwani na mambo yakawa mabovu ghafla, nilijitahidi kurudi mchezoni lakini sikufanikiwa kwani nilipatwa na msongo wa hali ya juu kuhusu hali ile na kwa vile muda ulikuwa haurusu basi shughuli ilishia hapo hapo.

Je, naweza kujuzwa ni jinsi gani viagra inavyoweza saidi katika hali kama hii?

Nawakilisha
Go here
1740844368976.png
 
Back
Top Bottom