Contract inaweza ikavunjwa any time lakini sheria inaangalia kwamba hakuna mtu ambae anakuwa disadvantaged sababu ya contract kutokundelea.., kwahiyo unaweza ukajikuta unawalipa hao watu kwa usumbufu unless kama utapata kitu ambacho hao jamaa ingebidi wafanye hawakufanya hivyo basi unaweza ukasema they did not play their part of the contract..,
Ushauri wangu ongea nao kwanza kabla hamjapelekana panapo sheria waambie kwamba umeshindwa kuendelea na mkataba uone watasemaje wakitaka uwalipe pesa nyingi sana basi nenda panapo sheria ( sababu kwenye mikataba sheria inaangalia mtu asipate hasara sio kwamba mtu atajirike kwa niaba ya mwenzake)