Nataka kuvunja ndoa yangu na ndoa ya baba mkwe, naomba ushauri wako kabla janga halijatokea

Kaomba ushauri ajaomba matusi.Haya mambo mbona yapo tele kwenye jamii
Ujinga mtupu.

Huwezi kua na Mawasiliano ya kificho na usiri na Mama Mkwe wako kiasi hiko kama wewe Mwanaume Una Akili.

Maana yake ,Mtoa mada ndiye aliyeanzisha hayo Kwa Mama Mkwe wake.

Na Huu Ndio nasema ni Ujinga
 
Kwetu ni mwiko kumgusa mama mke hata kuogea kwenye bafu moja, ndo nimejua kwanini mila zetu zinaumuhimu sana, sasa angalia huyu mswahili anavyo nena ujinga mtupu.
 
Uko vzr mwamba nimekusoma bila shaka, inawezasaidia ingawa bado mpini kashika yeye, mimi nimeshika makali. Naogopa kumshirikisha mke wangu juu ya hili jambo. Anaweza panic akaharibu show jumla. Hawa viumbe si unawajua lkn?

Ukishajitoa kisaikolojia utamkinai labda tu kama na wewe mpenda show,kula lakini kifo kitokee.Mfano mme wake akijua utakula risasi au ataua au kujiua.Akijiua ni lazima ndugu zake au watoto wake nao wakusake wakuue.
Hilo ni bomu chomoa fyuzi ufe.
 
Kwetu sisi mama mkewe hatuchangii nyumba moja atakaa nyumba za nje akija kusalimia wajukuu hofu ni kuepuka haya ya kutafunana.
 
Acha upumbavu huo chatting Gani hizo mnaanza kusifiana ujinga ujinga, yaanii kabisa unajua kitakachotokea halafu Bado unaweka miahadai ya kumnjunja mama mkwe wako, futa mazoea ya kijinga hayo focus Kwenye familia yako
 
dhambi ipo mlangoni je utaishinda? Shujaa hatishiwi bali husonga mbele akiamini maamzi yake
tena kummbuka hata yusufu alipokuwa misiri mwanamke wa mkuu wake alipompenda mbona alikimbia huku watu wakinga yowe
 
Usitufanye wajinga, na wewe si uhifadhi hizo sms pamoja na sauti zinazomuonesha akikutaka kimapenzi. Kisha mtumie umueleze na mimi ushahidi ninao ukizingua naweka hadharani... Ishu ndogo hivyo unashindwa nini.
 
It is time for tea ☕
 
Acha upumbavu huo chatting Gani hizo mnaanza kusifiana ujinga ujinga, yaanii kabisa unajua kitakachotokea halafu Bado unaweka miahadai ya kumnjunja mama mkwe wako, futa mazoea ya kijinga hayo focus Kwenye familia yako
Huyu jama akili zake haziko sawa ni watu waliokosa maadili ya malezi, utasifiaje urembo wa mama mkwe wako, huyu kwa akili zake ata mama ake mzazi anaweza akamfanya jambo akitishiwa tu.
 
Kama hiki kisa ni cha kweli na kama wewe ni Muislam, nakunasihi na kukukumbusha kuwa Mama mkwe ni Mahram kwako. Tena anakuwa Mahram kwako milele. Ukimuoa tu Mwanamke, Mama yake huyo Mwanamke ni Mahram wako milele (ameharamishwa kwako wewe kumuoa milele). Sasa wewe unataka kuzini na Mahram wako
Jambo zito hilo.

Halafu pia utaharibu na kuvunja familia za watu wa karibu mno ikiwemo kuharibu uhusiano kati ya Mama na Mtoto wake. Utaweza kuubeba huu mzigo?

Ulishakosea pale ulipokosa adabu kwa Mama mkwe, hivyo ukaingia mtego, sasa unapoelekea ni kubaya zaidi kama usiporudi nyuma na kuachana na hilo.

Kama wewe ni Muislam, hizo ndizo nasaha zangu kwako.

Yangu ni hayo tu.
 
Kuna mtu kasema huyu ni mtu mzima. Hey!! Big no.
Huyu ni kijana. Ndio yupo na 30.
Hawezi kuelewa maisha na heshima katikati maisha kiufupi hajavuka bado..
wewe piga tu mama mkwe wako. Ufurahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…