Nataka kuvunja ndoa yangu na ndoa ya baba mkwe, naomba ushauri wako kabla janga halijatokea

K
Kula Mzigo kijana, acha utoto
 
Ujinga mtupu.

Huwezi kua na Mawasiliano ya kificho na usiri na Mama Mkwe wako kiasi hiko kama wewe Mwanaume Una Akili.

Maana yake ,Mtoa mada ndiye aliyeanzisha hayo Kwa Mama Mkwe wake.

Na Huu Ndio nasema ni Ujinga
 
Huyu jama akili zake haziko sawa ni watu waliokosa maadili ya malezi, utasifiaje urembo wa mama mkwe wako, huyu kwa akili zake ata mama ake mzazi anaweza akamfanya jambo akitishiwa tu.
Kwanza nawaza huo ukaribu na mama mkwe umeanzia wapi yaanii unaanzaje Kwa mfano
 
Una matatizo ya akili. Inabidi ukamuone mtaalamu. Ni mtu mzima ila una akili za kitoto maana watoto utasikia. Baba yangu ana nyumba nzuri n.k
Umeandika majigambo na kujisifu. Una kazi nzuri, una mke mzuri, unamjua kumcare na bla bla kibao. Sina cha kukushauri mpaka siku ukikua
Toa suluhisho mkuu, mimi mwenyewe nalitambua hilo, ila hali halisi ndio hiyo.
 
We unatusumbua tu wakati majibu unayo. Kila la heri katika kuvuruga maisha yako mazuri. RIP
 
Punguza wivu kijana...habari ndo iyo....
 
Comrade onja kidogo Kama Sukari imekolea.
 
Siyo wivu ni ujinga. Kuna mambo hutakiwi kuyaongelea km mwanaume mwenyewe akili timamu.
Unatakiwa uandike unaomba ushauri kuhusu hili jambo 123. Sasa wewe unaanza sijui kazi nzuri. So what? Hiyo kazi yako nzuri imeweza kutatua hilo tatizo lako mpaka uje JF? Ungekuwa na mali kama MO au Bakhera si ungekuwa unawatemea mate watu. Kupata hicho kikazi unataka kila mtu ajue kama una kazi nzuri? Dunia hii ina vioja sana. Acha majigambo na sifa za kijinga
Ni mtu mzima ila bado una akili za kitoto.
Punguza wivu kijana...habari ndo iyo....
 
Umeeleza kila kitu. Ni wewe tu kuamua
 
Kwa kifupi kutembea na Mama mkwe ni kutafuta laana.Huwezi kumvua nguo Mama mkwe wako,harafu ni aibu katika jamii kama itagundulika kwa kitendo kama hicho kufanyika!
Na hapa uneshaingia mtego,alikutega kwa chat na wewe ukaingia mtego kiasi kwamba huwezi kuchomoa,kinachotakiwa ni kukubali chat ziwekwe wazi kuliko kufanya uchafu huo na Mama mkwe wako.
Isipokuwa kitendo ukikifanya atakayepata shida ni mama Mkwe! Alikubalije kufanya tendo kama hilo,kama hakutaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…