Cha msingi ni kuwa hilo eneo ambalo unataka kuwa agent uwe na soko unalolenga,na uwe na go down halafu na nyenzo ya kusafirishia bidhaa hadi kwa wateja,ila kwa hapo unatakiwa uwe umejenga uhusiano na wateja ili biashara yako iende smoothly,na pia kuhusu hapo lindi tunae distributor sasa cha msingi unaweza kuongea na huyo distributor ili akuonyeshe ni eneo gani kuna demand,ntakupm sa hv namba ya mtu wa tbl anayehusika na mambo ya ma distributor na maagents natumaini atakusaidia,na kama kutakuwa na mtu anayehitaji ufafanuzi zaidi anaeza kuuliza