Nataka kuwa agent wa taasisi yoyote-nichangieni mawazo

HAZOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,551
Reaction score
713
habari wana JF,
ninampango wa kuwa agent wa taasisi yoyote e.g kutoa bima etc. naombeni list ya taasisi ambazo ninaweza kuwa agent kwa taasisi zinazotoa huduma na si bidhaa. hii naona haitanipa shida ya mtaji, ofisi ninayo. mkoani
 
toa maelezo ya kutosha usaidiwe kiongozi, kwa mfano BOT unataka kuwa agent wao wa kusupervise financial institutions huko mkoani kwako?
 
mkuu umenifungua,
nikweli nahitaji kuwa wakala wa taasisi yeyote ambayo inatoa services, mimi nina ofisi ya uwakala wa kuuza vocha za jumla na huduma za e-money kwenye duka ambalo nimeipanga ofisi vizuri sana, sasa nataka hata kama hizo za BOT sawa, bima, brela, etc sijajua naanzaje na nauliza wadau mnipe any other service oriented firms ambazo nitakuwa wakala wao. nipo mikoani. karibu kwa mchango mkuu.
 
mkoani wp?? Hapana jina? Vzur ukaja dar ukaongea na wahusika nadhan watakusaidia...... Ukiachana na hyo kuna makampun yanayohitaj maa agent km tigo pesa m pesa selcom tanesco na crdb bank
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…