Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Anhaa sawa mkuu.. Huku ndo Madili yanamiminika siyoUsikose vijiwe vya ghahawa, mafund viatu, wauza magazeti, drought na bao
madalali au?Wale wapuuzi wanatumia dawa wale ooh
Asante mkuu. Ushauri murua sanaJitangaze haswa na uwe mwaminifu,sio mtu anatafuta kitu na anakupa mahitaj yake wwe unampeleka kinyume kisa tu unataka hela yake,kua mkweli,usiruhusu tamaa ikutawale,mtu akikataa kitu usimlazimshe akupe usumbufu,,usiuze viwanja mara mbili mbili,ukiwa mwaminifu Mungu nae atakuinua..
Asante mkuu. Nitafanya hivyoWeka mabango na picha ya hicho unacho kifanyia ufalali,kuwa na simu inayopatikana muda wote uwe na dili za kweli sio utapeli shinda vijiweni,kuwa na maneno mengi kama mswahili,kuwa na simu ya smartphone kuwa mtanashati na msafi
Huu ushauri mzuri zingatia boss, penyewe Pana nia Kuna njia...Weka mabango na picha ya hicho unacho kifanyia ufalali,kuwa na simu inayopatikana muda wote uwe na dili za kweli sio utapeli shinda vijiweni,kuwa na maneno mengi kama mswahili,kuwa na simu ya smartphone kuwa mtanashati na msafi
Jitangaze haswa na uwe mwaminifu,sio mtu anatafuta kitu na anakupa mahitaj yake wwe unampeleka kinyume kisa tu unataka hela yake,kua mkweli,usiruhusu tamaa ikutawale,mtu akikataa kitu usimlazimshe akupe usumbufu,,usiuze viwanja mara mbili mbili,ukiwa mwaminifu Mungu nae atakuinua..
Thanks mkuuHuu ushauri mzuri zingatia boss, penyewe Pana nia Kuna njia...
Nikutakie kheri mkuu!
Shukran mkuu nitautilia maanani huu ushauriKuna vyama vyao vya udalali, jiunge navyo.
Ili kujitofautisha nao tangaza kazi zako kwenye mitandao, uwe na PC na smartphone yenye kamera nzuri, usiweke chumvi sana, usimpe mtu matumaini tofauti.
Kuna mdau kazungumzia swala la kuwa hewani muda wote, hili ni la muhimu, ukiwa na marketing strategies nzuri hata madalali wenzako wanakuletea kazi mnagawana sawa sawa.
Na kwenye matangazo yako unaweza kufuta ile chaji ya uchakavu, ila tu mteja akawa anacover nauli za kwenda kwenye eneo husika.
Mtafute dalaliWakuu, nataka kuwa dalali wa nyumba, vyumba, viwanja, frame za biashara, apartments nk. Je nifanyeje ili niwe maarufu?
Nifanye ili wenye mali zao wawe wananipa mtonyo ili nipeleke wateja?
Shukran mkuu nitautilia maanani huu ushauri
Hili nitalifanya pia mkuuFahamiana kwanza na madalali wenzio
Mimi ni mtu wa kutoa feedback always. Nitafanya hivyo ngoja niingie sokoni.Usiache kuleta mrejesho mkuu, maana kwa hivi vyuma inaweza kuwa msaada tukipata ushauri kwa mtu aliye field.