Okay shukranNi vizuri zaidi ukiwa na fani zote kwa kuanzia bajaj unaendesha jioni na usiku kidogo na weekend yote,usome upepo kwanza.
Pili utuambie kijiwe chako wapi wadau tukuungishe?
πππKuwa makini bango utakaloliweka.
*Jamaa mmoja dereva wa bajaji alianguka,
sasa
bajaji ikawa imem'bana akawa anafurukuta
bila
mafanikio Cha ajabu watu wakawa wanampita
bila kumsaidia, Kumbe Nyuma ya Bajaji yake
alikua Kaandika "NIACHENI KAMA NILIVYO,
HII
NDIO STYLE YANGU"*