beauty in me
Senior Member
- Dec 27, 2017
- 161
- 134
Tembeza vivalioHabarini wajasiliamali
Mimi ni mwanamke wa miaka 29 nataka nianze biashara ya umachinga naombeni ushauri biashara gani inatoka sana huko mitaani hasa maeneo ya mjini kama kariakoo kwa mtaji wa elf 20
Mimi niko mkoani Arusha
Mkuu wazo lako zuri!lakin mtaji wake ni elf 20 tsh!Tembeza vivalio
Au accecories
Tembeza michezo ya watoto
Tembeza visandles vya kike
Tembeza nguo za ndani za wanaume kwa wanawake na watoto
Tembeza samaki waliokaangwa
Tembeza nguo za watoto za mtumba
Vingine nimesahau.
Hereni kipakti ni 1000tuMkuu wazo lako zuri!lakin mtaji wake ni elf 20 tsh!
Naziomba nipo dar nowUkija Dar nione. Nitakupa mbinu.
Kama una ujasiri pia amka asubuhi nenda ilalaNaziomba nipo dar now
Ilala sehemu gani?Kama una ujasiri pia amka asubuhi nenda ilala
Chukua nyanya,vitunguu
Dagaa,
Nyanya chungu
Bamia
Karoti
Limao/ndimu
Pita mitaani mpaka saa sita umefunga hesabu
Embu nawe siasa peleka huko usituharibie uzi
Ilala sokoniIlala sehemu gani?
ni pm nikupe nikuwezeshe pasipo riba ndugu.Habarini wajasiliamali
Mimi ni mwanamke wa miaka 29 nataka nianze biashara ya umachinga naombeni ushauri biashara gani inatoka sana huko mitaani hasa maeneo ya mjini kama kariakoo kwa mtaji wa elf 20
Mimi niko mkoani Arusha
Hii pic inahusiana vip na huu uzi labda?
Mkuu umetisha! Hiyo 20 asuke nywele nzuri ili kuongeza thamani ya bidhaa.ile biashara kongwe kabisa, wala hauitaji mtaji, tayari unao.
duh ngumu kumezaile biashara kongwe kabisa, wala hauitaji mtaji, tayari unao.