small mind
Senior Member
- Jun 1, 2012
- 129
- 58
Ni biashara nzuri inayoweza kukuingizia kipato kikubwa kwa haraka kama una uwezo mkubwa wa kuandika proposal na ripoti. Pia uwe na uzoefu kwenye utafiti, kwani wakati mwingine ukijibu T.O.R wanakuambia uambatanishe sample ya kazi ulizofanya.
Wateja wakubwa ni mashirika yasiyo ya kiserikali kama USAID, GIZ, WORLD VISION, WFP n.k
Zaidi ya miaka 10 nimekuwa kwenye hii fani, nilifanya kwenye shirika moja kwa miaka 5, sasa hivi nafanya kama freelancer (mtafiti wa kujitegemea).
Jitahidi uwe vizuri kwenye software kama;
Excel especially upande wa Pivoting
R ,Python, SPSS kwa ajili ya data analysis.
Kama unaweza jifunze ODK (open data kit) inatumika kuprogram maswali na kukusanya data kwenye simu janja.
Sent using Jamii Forums mobile app
T.O.R? naomba ufafanuzi

Sio mbaya kuanzia hapoJe una sifa za kuwa mtafiti? Kazi nyingi za utafiti zinahitaji kuwa na shahada za uzamivu katika fani unayoitafiti. Otherwise utakuwa data collector/ mtafiti msaidizi.