Nataka kuwa na kampuni Tanzania

directa

Senior Member
Joined
Jan 27, 2017
Posts
102
Reaction score
150
Wana JF habarini.

Mimi ni kijana I am in my early 20's. Nataka kuwa na kampuni ya FILM PRODUCTION. To be honest sina mtaji mkubwa. Sina hata vifaa.

Kinacho nisukuma kufungua kampuni: (Tukiachana na kwamba ni passion yangu) nimehangaika sana kupata funds ili kufanya film yangu ya kwanza.

Nimeandika business plan kibao kushawishi investors lakini potential investor mmoja, akanambia "be legit first" ndio nikaanzia hapo kufikilia kuwa na Kampuni.

Naomba ushauri kwa watu wenye makampuni na mawakili wa tasnia ya burudani. Kwa situation yangu ya kutokua na vifaa na kuwa na mtaji mdogo (mtaji wa kusajilia na kutengeneza portfolio).

Kipi nifanye kipi nisifanye na je naweza kuisimamisha kampuni?
 
mkuu nenda brela pale au ingia kwenye website yao utapata maelezo ya kutosha itakusaidia zaidi
 
mkuu nenda brela pale au ingia kwenye website yao utapata maelezo ya kutosha itakusaidia zaidi
ASANTE najua Brela wapo. Lkn nahitaji advice Kwa wataalamu. Watakaozungumzia ni aina gani ya company ita ni suit. Plus wanasheria WA field ya burudani Pia wanipe vidokezo vya kisharia in such business.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…