Nataka kuwa na uso laini

Dansel

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
249
Reaction score
59
Hi wana JF mimi ni mvulana nina vichunusi lakini sio sana hali iliyopelekea nipate madoa meusi na uso wangu kupoteza hali ya usoft.Nataka niwe soft kama mtoto.

Nisaidie jamani nifanye nini ili niondoe chunusi. Na hayo madoa na pia niwe soft.Ninaishi mwanza
 
Jaribu kutumia dodoki na sabuni ya mbuni
 
Nenda Bugando hospital onana na mtaalam wa Ngozi.atakusaidia,jua ya kuwa kuna aina mbalimbali za Ngozi na kila aina ina mafuta yake ya kupaka.Daktari wa ngozi atakupima na kukupa wright solution
 
kila ukipiga punyeto paka yale madude usoni ukae nayo kwa lisaa limoja
 
Jamani 2endelee kumshauri huyu mwenzetu afanye nini?
 
kama unatumia mafuta ya mgando yaache ujitahidi utumie lotion utalimaliza tatizo lako
 

inawezekana bado unakua....ni hali ya kawaida kwa vijana kama wewe....itapita hiyo hali....kuwa mvumilivu
 
Kama wewe ni kijana ( mvulana) uelewe ngozi yako ya uso itahitaji utunzaji makini kuepuka chunusi na madoa. Kukabiliana na chunusi - inaweza kuwa changamoto kama uko kwenye kipindi cha balehe ambapo hormones mbalimbali zinachochewa mwilini na hii huchoechea mlipuko wa chunusi.Unachopaswa kufanya ni kuzingatia usafi wa mwili hasa uso wako, zingatia ulaji wako kwa kuepuka vyakula vya kukaanga ( chips, burgers, etc), kula zaidi mboga na matunda kwa wingi bila kusahau kunywa maji mengi hadi lita mbili kwa siku.

Ili ukabiliane na chunusi kama zimezidi onana na daktari wa ngozi akushauri na kukuandikia dawa. Kama ni za kawaida basi osha uso kwa sabuni isiyo na manukato hasa medicated soaps, epuka kukamua chunusi maana huongeza uambukizo na kubakiza makovu/madoa.Paka cream kama Clearsil au jamii yake ambazo utazipata maduka ya dawa na vipodozi.

Kwamba unataka uwe na uso soft kama wa mtoto - sijui lengo lake ni nini maana huwezi kurudi utotoni tena. Unachoweza kuwa nacho ni uso msafi, usiokuwa na mawaa/madoa.
 
Jaribu kubdili sabuni yako ya kuogea au losheni au mafuta ya kujipaka inawezekana ndo sababu. Yakizidi hayo machunusi nenda hospitali ukamwone mtaalamu wa magonjwa ya ngozi!
 
Kuna njia nyingi za kufanya ngozi yako iwe nzuri, moja wapo ni kunywa maji mengi, vyakula vya asili vyenye vitamin E kwa wingi. Tumia vitu asili kama yai bichi ondoa kiini changanya nalimau jipake usoni asubuhi na jioni kama unanawa uso hivi. Unaweza pia kutumia asali kulainisha uso wako. Kama una umri wa zaidi ya miaka zaidi ya miaka 45 unaweza kutumia shahawa kupaka usoni. Kama mnafanya mapenzi basi waweza muomba mwenza wako akojolee mdoni wakati wa oral sexy na wewe meza shahawa hizo. Hii itakusaidia kuweka ngozi yako iwe laini na mng'alo wa kuvutia. Hii ni kwa wadada tu.

 

huyu ni mkaka nadhani. Je anywe nanihii zake?
 

mmmhhh....heri nibaki kama fenesi....wallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…