Wakuu naomba ushauri ajira nataka nikajaribu kuomba dili kwene yard za magari niwe natafta wateja kwa kupost picha na specifcation zake
....then nkpata mteja nampereka wakipatana nakatiwa percent kdogo...maana ajira ngumu...naomba ushauri kwa wene uzoefu na biashara ya mtandaon......AHSANTEN