Nataka kuwa wakala wa kuuza gas, nifanyeje?

Nataka kuwa wakala wa kuuza gas, nifanyeje?

igoji

Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
65
Reaction score
6
Wana jf, Mimi ni mjasiliamali mdogo mwenye mtaji unaokaribia millioni 10, nataka nibadili biashara hii nifanyayo na kuanza kuuza gas za ORYX au Lake gas. Kwa kweli sifahamu taratibu zozote za kufuata niweze kuuza hii product kutoka kwenye kampuni hizi. Mwenye ufahamu cha kufanya anijuze plz.
 
igoji "biogas"? hii sidhani kama inafaa kujaza kwenye mitungi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom