Nataka kuwa wakala wa vifaa vya usafi, wapi wanauza kwa jumla?

Nataka kuwa wakala wa vifaa vya usafi, wapi wanauza kwa jumla?

Wu-Ma

Senior Member
Joined
Dec 1, 2017
Posts
113
Reaction score
277
Habarini wakuu, nahitaji kuwa wakala wa vifaa vya usafi majumbani, wapi wanauza Kwa bei ya jumla Kwa DSM?

Ahsanteni
 
Wanakuja wajunzi wa hayo mambo kila la.kheri
 
Back
Top Bottom