Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Ina maana Sina potentials yoyote? serious?
Kweli mkuu duniani tunategemeana sana
Kwa ID Yako ningeshangaa ungesema 1Dah...00000000000
Sent using Beretta ARX 160
Mkuu wewe ndio mfano wa kuigwa katika JFMi nakukubali kwa kuwa unajikubali na sichukulii mada zako siriasi zingine ni poteza muda tu maisha yasonge.
Tuko pamoja Kama
Me sirudi nyuma Wala sigeuki.nishajikuta nasonga tu mbele.marufuku kukata tamaaNadhani hadi sasa umeshatambua kuwa unakubalika kwa asilimia 0.1 tu! Jiongeze mkuu!
We mwenyewe hauna hela ya bia unategemea Mimi nitapata wapi?