Nataka kuweka 256, 000Tsh jackpot sportpesa naomba unipe tips, na ushauri

Naomba kuuona mkeka unaotaka kuuweka ,tupeane ushauri japo haina maana kuwa utapata zote ni kutest zari
 
Hapo tuliza akili ili hata ukikosa hizo mechi 13 angalau hata upate bonasi ya timu 10 ambayo ni milioni 1 au timu 11 upate bonasi ya milioni 5 lakini angalia kushindana na jini la beting sio kazi ndogo unaweza ukapata ugonjwa wa moyo

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…