habari,
Ukosawa kwa maoni na mawazo yako na unaweza ukaufanikiwa ukitia juhudi juu ya hilo,ila sasa kutakuwa na sababu gani ya kumnyima mtoto haki yake ya kumfahamu baba yake.
hofu yangu kama kutakuwa na mawasiliano btn baba na mtoto ipo cku baba anaweza akataka akaishi nae huko na mimi nataka nikae na baby wangu hapa hapa tz mwanzo mwisho.
hivi we husninyo....hivi kwani mi sikufai?
ha ha ha! Mkuu unajifanya unatoa ushauri nasaha kumbe mzigo unautaka wewe?
Mi mzungu ni PM tujadili ili nione nitakusaidiaje
i'm proud of my race deod ila kwa ishu ya watoto napenda iwe hivyo jamani. Moyo huu jamani!!
It is not true, I think you hate your race badly. Remember Wazungus prefer to use double line Chinese mobile phone-T-gO and Vo-Dar. Are you ready to be called by Double line? Shauri yako but I hate you!
Sasa jamani matatizo yako wapi, its matter of what she likes.
Ushauri kutoka kwangu, kama unaishi uzunguni itakuwa rahisi kuwapata ila kama uko TZ inabidi uende maeneo wanayohang, vilabuni n.k zaidi muulize Mange and her likes. Lakini, think again with the issue of your child being raise with no further!
mi chotara wa kinyarwanda_nadhan ni mzur kuliko mzungu, IQ ni safi_u will enjoy, nipe contactsahsante. Sihitaji upendo wala sh 10 yako. Mi mtoto tu ila chotara.
opportunist childNapenda kuwa na mtoto chotara (half cast), natafuta mzungu nizae nae ila akishanipa mimba asiwe na habari na mimi wala mtoto. Nitalea mwenyewe. Awe tayari kupima magonjwa yote ya kuambukiza. Ushauri plz kabla cjaingia kwenye dating sites za kizungu.
Husninyo kama ni mtoto kwanini ukafanye uasherati wa makusudi kabisa? Kisha uje mdanganya huyo mtoto kuwa ulimuokota au baba yake alikimbia au alikufa. Hapana
Nakushauri ili usijikwaze wewe mwenyewe na hata Mungu tafadhali adopt mtoto kwa specifications unazotaka wapo wa aina zote tu!
Watu kama nyie huwa mna vishoga vyenu ambavyo ni vichotara umewaonea wivu hadi unataka mtoto chotara.i'm proud of my race deod ila kwa ishu ya watoto napenda iwe hivyo jamani. Moyo huu jamani!!
Watu kama nyie huwa mna vishoga vyenu ambavyo ni vichotara umewaonea wivu hadi unataka mtoto chotara.
jali rangi yako halisi.
My take:
Au wewe ni kabovu kiasi kwamaba hujikubali sasa unataka Mzungu aje ku'paint kwenye uzao wako?.