Nataka kwenda Ecuador

Nataka kwenda Ecuador

Krama

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
293
Reaction score
78
Habari za mchana wana JF?

Mimi nina mpango wa kusafiri kwenda Ecuador for a visit (well, opportunity seeking kind of). Sasa nimeona kwamba nikiwa na Passport ya Tanzania naweza kwenda Ecuador bila visa for up to 3 months!

Ila sasa swali langu ni kwamba do i need extra proofs wakati wa kusafiri? Kuhusu ninakoelekea nina marafiki zangu ambao ni Ecuadorians na wanaweza kuni- accommodate kwa kipindi chote nitakachokuwa huko! Pia hawa marafiki zangu I have met them in person maana nimefanya nao kazi United Kingdom for more than eight months! Kuhusu flight ticket I can book a return ticket as long as kama itahitajika proof ya mimi kurudi home! Sasa sijui kama hapo Airport watahitaji cha ziada wakati wa mimi kusafiri au passport na flight ticket zinatosha and I'm good to go?

Kama kuna mtu mwenye experience ya hizi visa free countries I'll greatly appreciate msaada wake! Natanguliza shukrani!

Regards
 
Swali ni hili

Yaaah, hapa ndo mtego ulipo [emoji28]
 
Watu wengi wakitaka kwenda sehemu kama hizo wanaingia Brazil,wakifika huko wana binjuka huko
Duh,sasa we unataka kwenda Ecuador kufanya kazi gani [emoji1]
Maana hizo ndiyo nchi za mipango

Ova
 
Habari za mchana wana JF?

Mimi nina mpango wa kusafiri kwenda Ecuador for a visit (well, opportunity seeking kind of). Sasa nimeona kwamba nikiwa na Passport ya Tanzania naweza kwenda Ecuador bila visa for up to 3 months!

Ila sasa swali langu ni kwamba do i need extra proofs wakati wa kusafiri? Kuhusu ninakoelekea nina marafiki zangu ambao ni Ecuadorians na wanaweza kuni- accommodate kwa kipindi chote nitakachokuwa huko! Pia hawa marafiki zangu I have met them in person maana nimefanya nao kazi United Kingdom for more than eight months! Kuhusu flight ticket I can book a return ticket as long as kama itahitajika proof ya mimi kurudi home! Sasa sijui kama hapo Airport watahitaji cha ziada wakati wa mimi kusafiri au passport na flight ticket zinatosha and I'm good to go?

Kama kuna mtu mwenye experience ya hizi visa free countries I'll greatly appreciate msaada wake! Natanguliza shukrani!

Regards
Waulize hao marafiki unaotarajia kufikia kwao
 
Kama huhitaji visa hao marafiki wala huwahitaji just buy your ticket online, na fanya booking ya hotel online pia,hao watu wa dar hapo Airport wala haiwahusu,na wala huhitaji kusema kama una marafiki, wewe sema unaenda kutembea.
 
Thanks sana mkuu! Hii imenifungua macho kwa kiasi kikubwa
 
Swali ni hili

Kama kuna mtu mwenye experience ya hizi visa free countries I'll greatly appreciate msaada wake! Natanguliza shukrani!
Huhitaji kuomba visa passport yako itagogwa muhuli wa visa on arrival,kawaida inakuwa three months. Kama nchi za Europe schengen hawagongi kabisa,wewe unapasua tu.
 
Back
Top Bottom