Nataka kwenda Fiji kutafuta life nipeni abc zake

Nataka kwenda Fiji kutafuta life nipeni abc zake

Joined
Jan 14, 2025
Posts
43
Reaction score
85
Katika kupambania life nimeamua kuingia kiwanjani nataka nikatafutie Fiji nataka nijue kwa upana fursa za uko, usafiri mpaka uko, maradhi na gharama za maisha kutoka kwa experience za watu mbalimbali waliowahi fika uko au wanajua mengi kuhusu uko.

#Toka magheton, ingia kiwanjani
 
Katika kupambania life nimeamua kuingia kiwanjani nataka nikatafutie Fiji nataka nijue kwa upana fursa za uko, usafiri mpaka uko, maradhi na gharama za maisha kutoka kwa experience za watu mbalimbali waliowahi fika uko au wanajua mengi kuhusu uko.

##Toka magheton, ingia kiwanjani
Nenda YouTube,fungua life in Fiji Utakuja kunishukuru!
 
Katika kupambania life nimeamua kuingia kiwanjani nataka nikatafutie Fiji nataka nijue kwa upana fursa za uko, usafiri mpaka uko, maradhi na gharama za maisha kutoka kwa experience za watu mbalimbali waliowahi fika uko au wanajua mengi kuhusu uko.

##Toka magheton, ingia kiwanjani
Kwanini umechagua kwenda Fiji sio nchi nuingine ili nikupe ushauri zaidi.
 
VIsa free na watalii weng nikijiongeza natoka haraka, vilevile elimu ipo stakosa hata kazi ya ualimu uko
Mmh hapo umechemsha kule kuna blacks wale wakale bado wana vita za ukoo wengi wanakimbila Australia kupata green pasture Tanzania iko vixuri × 5 ya hiyo nchi kuna kundi kubwa maisha yao nikama wahzabe hapo .
 
Bei ya kawaida sana kwsbb pia maisha ya Wafiji ni ya chini, kwa Tsh. Ni kama 15,000/= mpaka 18,000/= kuna umasikini...pia wanawa value sana Wageni na pia wana Utu sana

Hali ya hewa ni nzuri sanaa na wana beach safi sio kama za bobgo zilizojaa takataka
 
Fiji nenda tu kwa watanzania wenzako maana wenyeji wa hivo visiwa asili Yao ni Rufiji walio pelekwa uko miaka mingi iliyo pita baada yà mashua zao kupata dhoruba bahari ya Hindi
🤒
 
Ma babu wa babu zao wametokea Tanzania...
Wanajua kiswahili kiasi kidogo sana...
Wanaume huvaa sketi kama vazi la kawaida...
Bado wanautawala wa machifuu na koo zenye nguvu...
Ni mashombeshombe kwa asilimia zote..

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom