Jamaica sio bangi na ndizi tu. Wana viwanda vidogo vizuri.Pamoja na kuwa na soko huru bado bidhaa za Jamaica zinashindabega na bidhaa za nje. Mfano, huku Colgate, lux nyingine nyingi za ulaya zatamba kule hazioni ndani. Viwanda vya consumer goods vya Jamaica no vizuri sana sio kama vyetu.
Mzee mwenzangu unae taka kwenda Jamaica, kuna bidhaa nyingi bora kuliko huku tatizo ni bei. Bidhaa zao in za kimarekani za ulaya na za Jamaica yenyewe ni-high quality hivyo ni vigumu kuuza huku kwani bei zao ni kubwa. Kule hakuna bidhaa za China.
Kama wataka biashara basi fanya contact t na mwenyeji wako akutafutie soko la mawe ya thamani kama tanzanite, ruby etc. Pia itakua rahisi katika uchukuzi.
Traditional african dresses hasa za akin a mama waweza kuuza.