NATAKA KWENDA KONDOA KUTEMBEA

King mkucha

Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
89
Reaction score
70
Ni kijiji gani kizuri naweza kwenda kondoa kukaa kwa miezi miwili ambacho umeme bado ni shida maana nataka kupata experience ya maisha ya kijijini
 
Aise nilikuwa napitaga ile road ya kondoa to dom town..,nawaona wanawake wa kirangi pembeni wakiwa wamejiremba fresh kwa shungi Zao ila kiukweli inaonesha kuwa kondoa ni sehemu ambapo wanawake wake wanajitunza nmno na ni wazuri Sana
 
Karibu Sana
Kuhusu warembo ondoa Shaka wapo wa kumwaga
 
Naomba kupata rafiki mzaliwa wa kondoa, awe mwanaume au mwanake umri usipungue miaka 35.

Mimi mwanaume!

Dhumuni ni kujenga urafiki na undugu pia.
0755102030
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…