Unataka ukafanye biashara ganiHabari zenu wakuu,Mimi ni kijana mpambanaji kwa sasa Niko dar es laam nina mpango wa kwenda mbeya kutafuta maisha rasmi....je ni sehemu zipi tajwa apo juu.
Mkuu ata Mimi natak nijilipue niende tunduma border nikatfe michongo ya clearing and forwardingHabari zenu wakuu,Mimi ni kijana mpambanaji kwa sasa Niko dar es laam nina mpango wa kwenda mbeya kutafuta maisha rasmi....je ni sehemu zipi tajwa apo juu.
Ambazo ziko vizuri kwa fursa za kiuchumi, population nk.... Msaada tafadhari......
NB;
-nna ideas kidogo za kilimo
-biashara asa products za kike
-elimu( bachelor in social protection)
-spendi kuishi dar es laam na sijawai waza
-mtaji upo tayari 1.2M.
Ahsante
Good idea mkuu huko ndo penyewe mi pia na mpango wa kusepa uko sku s nyingiMkuu ata Mimi natak nijilipue niende tunduma border nikatfe michongo ya clearing and forwarding
serious kaka, vip Una ABC za Uko, Una ka connection Tyr au unajilipua tu Kama mimiGood idea mkuu huko ndo penyewe mi pia na mpango wa kusepa uko sku s nyingi
Jiripulie Chunya,990,000 majogoo 66 mnada wa kila jumapili unasafirisha tenga mpaka Itumbi Migodini kwa Tsh 40,000 kwenda na kurudi bila kulala maana lazima waishe kwa siku moja na kula Tsh. 10,000 maximum na utakuwa umetumia jumla ya Tsh. 1,040,000 utawauza hao jogoo kima cha chini Tsh.25,000 kwa kuku 66 sawa na TSh.1,650,000 toa gharama unabaki na faida ya Tsh.610,000 baada ya hapo unaendelea na shughuli zako za kiujasiliamali mbali na uuzaji kuku kusubiri jumapili nyingine ukawajumue tenaHabari zenu wakuu,
Mimi ni kijana mpambanaji kwa sasa Niko Dar es Salaam nina mpango wa kwenda Mbeya kutafuta maisha rasmi.
Je, ni sehemu zipi tajwa apo juu ambazo ziko vizuri kwa fursa za kiuchumi, population nk.
NB;
- Nina ideas kidogo za kilimo
- Biashara hasa products za kike
- Elimu( bachelor in social protection)
- Spendi kuishi dar es laam na sijawai waza
- Mtaji upo tayari 1.2M.
Msaada tafadhari.
Ahsante
Kyela unaweza ukawa unanunua cocoa kutoka vijijini na kuuza mjini au maweseHabari zenu wakuu,
Mimi ni kijana mpambanaji kwa sasa Niko Dar es Salaam nina mpango wa kwenda Mbeya kutafuta maisha rasmi.
Je, ni sehemu zipi tajwa apo juu ambazo ziko vizuri kwa fursa za kiuchumi, population nk.
NB;
- Nina ideas kidogo za kilimo
- Biashara hasa products za kike
- Elimu( bachelor in social protection)
- Spendi kuishi dar es laam na sijawai waza
- Mtaji upo tayari 1.2M.
Msaada tafadhari.
Ahsante
Asisahau kuchukua dawa za Tunduma hizo balaa baada ya mwezi anakuja kuwavua watu nyumba kariakooNenda tunduma hutojuta achana na kyela
Tunduma wnaenda kuchukua sna dawa zambia na ileje au malawi kule ni hatar ndan ya mwaka tu ikikubali tayr unakuwa VUNJA BEI mpyaasisahau kuchukua dawa za Tunduma hizo balaa baada ya mwezi anakuja kuwavua watu nyumba kariakoo