Nataka kwenda kufanya biashara Mbeya, ushauri wenu tafadhali

Mkuu itabidi nkomae kiume kwa kumtumia Sana Sir.God sababu me sio mdau wa superpower aisee....
 
Duh ahsante San mkuu,ni idea nzuri Sana....je izo kuku tunazitoa wap? Manake huwez kukusanya kwa siku moja na eneo moja....lazima uzunguke kutafuta vijiji tofaut
 
Yaaani kuandika raha sana kaka 😅😅😅
 
Sina idea hiyo brother,pia serikari now inazingua Sana izo biashara wanadai ni utakatishaji fedha
kumbe wewe mlokole unataka biashara za halali? hahaha biashara za tunduma ni magendo, ushirikina, vishoka... la sivyo hako kamtaji kako katakata na mpaka nauli ya kurudi kwenu utakopa...tunduma mpaka wachaga wamekushindwa... me0pa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah na mbeya mjini je... Papoje pale mkuu nsaidie info kidogo
 
Duuu utakuja kuua mtu kwa presha maana hapa umemjaza upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…