nataka kwenda kulima vitunguu mkoa wowote

nataka kwenda kulima vitunguu mkoa wowote

mbuyake

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
293
Reaction score
510
wakuu naomba mwenye kujua eneo wanalokodisha kwa kilimo cha kitunguu kwa umwagiliaji kwa kuwa nina pump ya inchi tatu na msimu utakuwa mwezi gani pia kama itawezekana nipeni gharama za kukodi na za uendeshaji kwa heka moja .asanteni
 
Back
Top Bottom