mbuyake JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 293 Reaction score 510 Jan 5, 2014 #1 wakuu naomba mwenye kujua eneo wanalokodisha kwa kilimo cha kitunguu kwa umwagiliaji kwa kuwa nina pump ya inchi tatu na msimu utakuwa mwezi gani pia kama itawezekana nipeni gharama za kukodi na za uendeshaji kwa heka moja .asanteni
wakuu naomba mwenye kujua eneo wanalokodisha kwa kilimo cha kitunguu kwa umwagiliaji kwa kuwa nina pump ya inchi tatu na msimu utakuwa mwezi gani pia kama itawezekana nipeni gharama za kukodi na za uendeshaji kwa heka moja .asanteni