Nataka kwenda kupata matibabu kwenye meli ya kijeshi ya China, nafikaje?

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Nisaidie hiyo meli ipo sehemu gani na napanda gari hadi wapi

Niliona kwenye luninga kwamba kuna meli la kivita la Chaina lipo hapa Tanzania kutoa huduma za afya na matibabu bure. Hivi bado wapo? Mlokwenda, je ipo kwa wapi? Nafikaje mfano mtu ninayeishi Tabata?

Utaratibu wa kufika upoje
 
Nisaidie hiyo meri ipo sehemu gani na napanda gari hadi wapi

Niliona kwenye luninga kwamba kuna meli la kivita la Chaina ripo hapa Tanzania kutoa huduma za afya na matibabu bure.Hivi bado wapo?mlokwenda jee ipo kwa wapi nafikaje mfano mtu ninayeishi Tabata

Utaratibu wa kufika upoje
Meli iko Bandarini.
Panda Magari ya Gerezani kwenda Kigamboni au Mbagara yanayopita njia ya Bandarini. Shukia kona ya uelekeo wa Mbagala/Mafuta.
Hapo uhakikishe umefika saa 10 alfajiri uchukue namba au ukose. Kwa siku wanahudumia Wagonjwa 600 kama sikosei so hata namba wanatoa 600 tu. Waweza fika saa 10 alfajiri ukapata namba 335+ hii kitu inatia wasi wasi na nimekuja kubaini kwamba tunashida kubwa sana kwenye sekta ya Afya.
Nilipata mgeni toka Mkoani kuja ⁷kupata huduma kwenye hiyo Meli alichokikuta alipona hapo hapo. Amekutana na wagonjwa walioletwa wakiwa mahtuti, waliokata tamaa, wasio na uwezo, waliooza viungo nk. Baada ya kufika saa 12 alfajiri akakuta rundo la watu na tayari namba 600 zimeshagawiwa alirudi kinyonge tu akakubali yaishe.
 
Wanatibu magonjwa gani?
 
Alafu kuna mtu anamsafara wa magari 100
 
Weee
 
Hatari
 
Nisaidie hiyo meli ipo sehemu gani na napanda gari hadi wapi

Niliona kwenye luninga kwamba kuna meli la kivita la Chaina lipo hapa Tanzania kutoa huduma za afya na matibabu bure. Hivi bado wapo? Mlokwenda, je ipo kwa wapi? Nafikaje mfano mtu ninayeishi Tabata?

Utaratibu wa kufika upoje
Bure ina adhabu zake, wewe nenda tu hilo nyomi utakalolikuta ndio utajuwa Watanzania karibu wote ni wagonjwa.
 
Alafu kuna mtu anamsafara wa magari 100
Halafu kuna wahandisi wanampa helikopta; naona aibu kuwa mhandisi ingawa siyo mmoja wa waliotoa helikpta kwa vile wao ni wale ambao walishapata kandarasi
 
Nimepita mitaa hiyo juzi..lile nyomi ni hatari sana
 
Meli iko Bandarini.
Panda Magari ya Gerezani kwenda Kigamboni au Mbagara yanayopita njia ya Bandarini. Shukia kona ya uelekeo wa Mbagala/Mafuta.
Hapo uhakikishe umefika saa 10 alfajiri uchukue namba au ukose. Kwa siku wanahudumia Wagonjwa 600 kama sikosei so hata namba wanatoa 600 tu. Waweza fika saa 10 alfajiri ukapata namba 335+ hii kitu inatia wasi wasi na nimekuja kubaini kwamba tunashida kubwa sana kwenye sekta ya Afya.
Nilipata mgeni toka Mkoani kuja ⁷kupata huduma kwenye hiyo Meli alichokikuta alipona hapo hapo. Amekutana na wagonjwa walioletwa wakiwa mahtuti, waliokata tamaa, wasio na uwezo, waliooza viungo nk. Baada ya kufika saa 12 alfajiri akakuta rundo la watu na tayari namba 600 zimeshagawiwa alirudi kinyonge tu akakubali yaishe.
Aseeehhh
 
Halafu kuna wahandisi wanampa helikopta; naona aibu kuwa mhandisi ingawa siyo mmoja wa waliotoa helikpta kwa vile wao ni wale ambao walishapata kandarasi
Umenena vyema mkuu. Hao wakandarasi wangejitolea kuwajengea wananchi wenye shida ya kituo cha afya au barabara au shule. Wange kumbukwa hadi wajukuu wa wajukuu wao.
 
Back
Top Bottom