Meli iko Bandarini.Nisaidie hiyo meri ipo sehemu gani na napanda gari hadi wapi
Niliona kwenye luninga kwamba kuna meli la kivita la Chaina ripo hapa Tanzania kutoa huduma za afya na matibabu bure.Hivi bado wapo?mlokwenda jee ipo kwa wapi nafikaje mfano mtu ninayeishi Tabata
Utaratibu wa kufika upoje
Wanatibu magonjwa gani?Meli iko Bandarini.
Panda Magari ya Gerezani kwenda Kigamboni au Mbagara yanayopita njia ya Bandarini. Shukia kona ya uelekeo wa Mbagala/Mafuta.
Hapo uhakikishe umefika saa 10 alfajiri uchukue namba au ukose. Kwa siku wanahudumia Wagonjwa 600 kama sikosei so hata namba wanatoa 600 tu. Waweza fika saa 10 alfajiri ukapata namba 335+ hii kitu inatia wasi wasi na nimekuja kubaini kwamba tunashida kubwa sana kwenye sekta ya Afya.
Nilipata mgeni toka Mkoani kuja ⁷kupata huduma kwenye hiyo Meli alichokikuta alipona hapo hapo. Amekutana na wagonjwa walioletwa wakiwa mahtuti, waliokata tamaa, wasio na uwezo, waliooza viungo nk. Baada ya kufika saa 12 alfajiri akakuta rundo la watu na tayari namba 600 zimeshagawiwa alirudi kinyonge tu akakubali yaishe.
Alafu kuna mtu anamsafara wa magari 100Meli iko Bandarini.

WeeeMeli iko Bandarini.

HatariMeli iko Bandarini.

Bure ina adhabu zake, wewe nenda tu hilo nyomi utakalolikuta ndio utajuwa Watanzania karibu wote ni wagonjwa.Nisaidie hiyo meli ipo sehemu gani na napanda gari hadi wapi
Niliona kwenye luninga kwamba kuna meli la kivita la Chaina lipo hapa Tanzania kutoa huduma za afya na matibabu bure. Hivi bado wapo? Mlokwenda, je ipo kwa wapi? Nafikaje mfano mtu ninayeishi Tabata?
Utaratibu wa kufika upoje
Halafu kuna wahandisi wanampa helikopta; naona aibu kuwa mhandisi ingawa siyo mmoja wa waliotoa helikpta kwa vile wao ni wale ambao walishapata kandarasiAlafu kuna mtu anamsafara wa magari 100
Kwani hii meli si imewasili jana?Nimepita mitaa hiyo juzi..lile nyomi ni hatari sana
Meli inakaribia week nzima ipo bandarini hapo.Kwani hii meli si imewasili jana?
AseeehhhMeli iko Bandarini.
Panda Magari ya Gerezani kwenda Kigamboni au Mbagara yanayopita njia ya Bandarini. Shukia kona ya uelekeo wa Mbagala/Mafuta.
Hapo uhakikishe umefika saa 10 alfajiri uchukue namba au ukose. Kwa siku wanahudumia Wagonjwa 600 kama sikosei so hata namba wanatoa 600 tu. Waweza fika saa 10 alfajiri ukapata namba 335+ hii kitu inatia wasi wasi na nimekuja kubaini kwamba tunashida kubwa sana kwenye sekta ya Afya.
Nilipata mgeni toka Mkoani kuja ⁷kupata huduma kwenye hiyo Meli alichokikuta alipona hapo hapo. Amekutana na wagonjwa walioletwa wakiwa mahtuti, waliokata tamaa, wasio na uwezo, waliooza viungo nk. Baada ya kufika saa 12 alfajiri akakuta rundo la watu na tayari namba 600 zimeshagawiwa alirudi kinyonge tu akakubali yaishe.
Huzuni sanaaaDah adi kutibiwa msaada nchi yangu
DuhhNenda hadi ilipo piga nanga,jirushe kwenye maji,hapo utapata matibabu fasta bila kupanga foleni
Umenena vyema mkuu. Hao wakandarasi wangejitolea kuwajengea wananchi wenye shida ya kituo cha afya au barabara au shule. Wange kumbukwa hadi wajukuu wa wajukuu wao.Halafu kuna wahandisi wanampa helikopta; naona aibu kuwa mhandisi ingawa siyo mmoja wa waliotoa helikpta kwa vile wao ni wale ambao walishapata kandarasi