akilimali Tb Member Joined Sep 19, 2018 Posts 16 Reaction score 12 Oct 6, 2018 #1 Wadau nijuzeni natarajia kusafiri muda so mrefu najiuliza je Pesa nachenjiwapi? Naje benk za Kenya ukiingia na kadi ya Tz unapatahuduma?
Wadau nijuzeni natarajia kusafiri muda so mrefu najiuliza je Pesa nachenjiwapi? Naje benk za Kenya ukiingia na kadi ya Tz unapatahuduma?
John locke JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 836 Reaction score 1,288 Oct 6, 2018 #2 akilimali Tb said: Wadau nijuzeni natarajia kusafiri muda so mrefu najiuliza je Pesa nachenjiwapi? Naje benk za Kenya ukiingia na kadi ya Tz unapatahuduma? Click to expand... Kama unapitia border ya Namanga pesa utabadilishia ofisi za Immigration Namanga ya Kenya ....Lakini pia kuna wasomali upande wa Kenya wako boda pale ndo kazi zao hizo na rate zao ziko poa sana
akilimali Tb said: Wadau nijuzeni natarajia kusafiri muda so mrefu najiuliza je Pesa nachenjiwapi? Naje benk za Kenya ukiingia na kadi ya Tz unapatahuduma? Click to expand... Kama unapitia border ya Namanga pesa utabadilishia ofisi za Immigration Namanga ya Kenya ....Lakini pia kuna wasomali upande wa Kenya wako boda pale ndo kazi zao hizo na rate zao ziko poa sana
akilimali Tb Member Joined Sep 19, 2018 Posts 16 Reaction score 12 Oct 6, 2018 Thread starter #3 Inamaana nitembeenapesa! Naomba ufafanuzi mkuu
filbertm88 Member Joined Jul 21, 2017 Posts 6 Reaction score 0 Oct 6, 2018 #4 akilimali Tb said: Wadau nijuzeni natarajia kusafiri muda so mrefu najiuliza je Pesa nachenjiwapi? Naje benk za Kenya ukiingia na kadi ya Tz unapatahuduma? Click to expand... Nebda bank of Africa nairobi utapata huduma zote, usisubutu kutembea na pesa
akilimali Tb said: Wadau nijuzeni natarajia kusafiri muda so mrefu najiuliza je Pesa nachenjiwapi? Naje benk za Kenya ukiingia na kadi ya Tz unapatahuduma? Click to expand... Nebda bank of Africa nairobi utapata huduma zote, usisubutu kutembea na pesa