sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Oi wakuu naomba kujua kama kuna mwanasoka mwenye ratiba ya sports extra NDONDO CUP kma kuna mwanamichezo mwenye fixture ya hii michuano anifahamishe
Na pia naomba kujua kma timu nayoishabikia RIVER HEROUS ipo kwenye hii michuano mm npo Denmark ndyo maana naomba kufahamu wakuu
Na pia naomba kujua kma timu nayoishabikia RIVER HEROUS ipo kwenye hii michuano mm npo Denmark ndyo maana naomba kufahamu wakuu