NATAKA MAJIBU

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Oi wakuu naomba kujua kama kuna mwanasoka mwenye ratiba ya sports extra NDONDO CUP kma kuna mwanamichezo mwenye fixture ya hii michuano anifahamishe
Na pia naomba kujua kma timu nayoishabikia RIVER HEROUS ipo kwenye hii michuano mm npo Denmark ndyo maana naomba kufahamu wakuu
 
Mikia FC lazima wanayo, wataibuka sasa hivi.
 
Ingia kwenye website ya shaffih Dauda au page yake ya instagram ukaangalie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…