Nataka mchumba mzuri.

Nataka mchumba mzuri.

Joined
Sep 25, 2012
Posts
8
Reaction score
0
Hellow waTz nataka mchumba mzuri atakaye nifaa, but hawa mabint nimeshindwa kuwaelewa kwani ina semekana kwamba wao huwa hawapendi bali hufunzwa kupenda na wanaume wanao wataka ,kama ni hivyo je nitampataje mke anipendaye kwa dhatiau nitamtambuaje mchumba anaye nipenda kwa dhat. Nilikuwa na wakwanza kaniambia at ananipenda for along baadaye kaja sema alikuwa anatamka tu but infact yeye hakuwa ananipenda so hebu toeni maoni yenu wa TANZANIA.
 
toa exquisiteness zako uko ukoje weye?????
 
huyo kaka lbda umtengeneze mwenyewe umuandae mwenyewe nikias gani unataka akupende
 
mtu hafundishi kupenda kwasbb love inahusisha hisia hivyo mtu kama hana hisia juu yako ni kazi bure.
 
Back
Top Bottom