NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
Chukua kikaratasi andika maandishi ya kiarabu hata kama hujui kuyaandika wewe koroga tuu halafu kishonee na kitambaa cheusi na kidondoshe kibarazani kwao ila saikuone haha haha nakwambia watahama mtaa lol :heh::heh::heh:
Una uhakika na huyo Swity wako? Angalia yasije kukurudia wewe.
Jamaa mtoto wa Shekhe maarufu nataka mfanyizia visa mpaka aone dunia chungu. Nimemuonya juu ya kumsumbua my SWITY! bado anajifanya aelewi. Nataka anza mfanyia visa vya mgongano ndani ya familia yake ili vimsumbue akose muda wa kumsumbua my Baby.
Leo nimepanga kwenda kununua Kitimoto kilo moja, naifunga vizuri. Namtafuta mtoto aipeleke nyumbani kwao mida ya jioni kabla baba yake ajaenda kwa misikitini. Navizia akiwa amekaa kibarazani kama kawaida yake. Nitamwambia huyo mtoto kuwa, huyo mtoto wa shekhe kamtuma akamnunulie hiyo nyama. Nitamchukua mtoto mbali ya sehemu ninapoishi.
Naombeni visa vingine wana wa JF, ananiudhi huyu.
Mbona ukimwendea tu uso kwa uso na kujitambulisha kuwa wewe ni fulani kwa anayemsumbua na hata hivyo umemsikia kuwa msumbufu kwa sweety wako ataacha.....? Hata na kuhama mji anaweza.....!Jamaa mtoto wa Shekhe maarufu nataka mfanyizia visa mpaka aone dunia chungu. Nimemuonya juu ya kumsumbua my SWITY! bado anajifanya aelewi. Nataka anza mfanyia visa vya mgongano ndani ya familia yake ili vimsumbue akose muda wa kumsumbua my Baby.