Nataka Milioni 3 narudisha 3.5 ndani ya wiki 3.

Right Guy

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2016
Posts
317
Reaction score
615
Kuna tenda nimepewa na kampuni fulani hapa Dar, naomba yeyote anayeweza kunipa milioni 3 anitafute kwenye hii namba 0673341873, nitarudisha milioni 3.5 kwa muda wa wiki tatu.
 
Unngeuza hivyo vitu then uje kuvinunua upya ukishapiga mpunga wako..m
Huyo wa kuvinunua fasta namtoa wapi na kwa bei gani? Unaweza kuuza kwa bei ndogo mwisho wa siku unajikuta pale pale.
 
Kuna tenda nimepewa na kampuni fulani hapa Dar, naomba yeyote anayeweza kunipa milioni 3 anitafute kwenye hii namba 0673341873, nitarudisha milioni 3.5 kwa muda wa wiki tatu.

Peleka tender documents na dhamana yako benki yoyote watakupa mkopo kwa riba ndogo kuliko hiyo laki 5; hatuna appetite ya kutapeliwa hapa jamvini.
 
Nakushauri tu,hakuna atakaye kubali kutoa pesa kwa dhamana ya vitu vyako vya ndani.

Fanya mpango wa kuuza kiwanja kwa bei ambayo unaweza kupata mteja haraka ili ufanye mishe zako kwa uhuru na amani.
 
Peleka tender documents na dhamana yako benki yoyote watakupa mkopo kwa riba ndogo kuliko hiyo laki 5; hatuna appetite ya kutapeliwa hapa jamvini.
This is what I wanted to advise, tatizo collateral ni ipi? Ana meet zile 5Cs?????
 
Reactions: MTK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…