happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,392
Wana Jf mimi kidogo umri wangu umesogea niko kati ya miaka 40-45,ninafanya kazi nimeajiriwa kwenye shirika moja hapa Dsm,nahitaji mwanamke wa kuoa kutoka humu Jf,awe na umri kati ya miaka 35-42,awe anafanya kazi ya kuajiriwa au mfanyabiashara,kama ni watoto asiwe na zaidi ya mmoja kwani mimi ninae mmoja pia awe tayari kupima HIV kabla hatuajaendelea na mipango yetu ya kuishi pamoja.Aliye interested anaweza kuni pm.
Dah Smileleo umeniamkia vibaya,sasa avatar yangu mimi na yako unayoonyesha vipaja ipi mbaya?Kama mtu atapenda kwa kuangalia avatar za JF kuna ambao hawatapata wachumba kabisaaa.ahaaaa ! mi sipendi mambo ya siri bwana wewe sema hapa hapa ili wadau wanishauri .halafu toa iyo avatar unaonekana muhuni tu ! miaka 45 na akili hiyo utakosa mke ujue

haya bwana kwanza utakuwa mlevi sana hadi unajiita mwanamaji? maji ya tbl nini kaka?Dah Smileleo umeniamkia vibaya,sasa avatar yangu mimi na yako unayoonyesha vipaja ipi mbaya?Kama mtu atapenda kwa kuangalia avatar za JF kuna ambao hawatapata wachumba kabisaaa.
Akiingia tushtue bwana huku hatumtaki wengine tuko serious asije kutuharibia maisha yetu.Duh, hii ajabu. Kuna kademu fulani hakabipiwi kuhusu ndoa nashangaa kwenye huu uzi hakapo.
Itakuwa kuna mtu anakamega, ila kakivaa tu nguo lazima kaje. Ni kama paka akisikia maziwa yametajwa
Wana Jf mimi kidogo umri wangu umesogea niko kati ya miaka 40-45,ninafanya kazi nimeajiriwa kwenye shirika moja hapa Dsm,nahitaji mwanamke wa kuoa kutoka humu Jf,awe na umri kati ya miaka 35-42,awe anafanya kazi ya kuajiriwa au mfanyabiashara,kama ni watoto asiwe na zaidi ya mmoja kwani mimi ninae mmoja pia awe tayari kupima HIV kabla hatuajaendelea na mipango yetu ya kuishi pamoja.Aliye interested anaweza kuni pm.
ni pm nikunong'oneze kitu
Strawberrynaona wewe ni wale ambao mnataka kujiongezea number of posts humu Jf kwa ku-post hata uzushi mradi the numbers are rising,God bless you and keep it up.Man Maji Man Water na wewe jamani.Mie nimejipendekeza kwako miaka yote hiyoo jamani leo unaniacha na kutoa tangazo humu JF Loh.Kweli wanaume nyie hamubebeki.
mambo vipi? nipigie kwa namba 0719171630
Duh, hii ajabu. Kuna kademu fulani hakabipiwi kuhusu ndoa nashangaa kwenye huu uzi hakapo.