Nataka mpenzi kutoka jf.(jamii forum)

Nataka mpenzi kutoka jf.(jamii forum)

JERUSALEM 2006

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
527
Reaction score
596
Jamani salama!
Nilikua na mpenzi niliempata facebook lakini yuko nje ya TZ, nikapata mwengin wa twittr ambye alikua celebrity toka Niger xo 2kashndwana.
Nimeona nitafute kutoka hapa jf labda atakua mtanzania na atanifaa, aliyetayari ani PM, she must b aged 18-30.
 
Ili jamvi sasa linageuka kuwa mahali pakuondolea stress na si kuleta hoja, wewe kama ni mtanzania unakutana na watu kila siku umeshindwaje kumpata mpaka ukaja kutafuta humu
 
Huwezi jua,labda cjui kutongoza, au naona uvivu, au natafuta great thnkr mwenzangu ili niweze kufanikisha azma yangu.
Kwa kina dada na kina mama wa jf jamani nitafuteni ili 2angalie mchakato ukoje.
 
mmmh! huko kote umeshindwa lol hamia na bongo blog kule utawapata wengi tu ila humu jf wengi wake za watu.

1
 
ngoja na mimi nijipange na vigezo nipate nyumba ndogo hapa,kumbe linawezekana..:dance:
 
Huwezi jua,labda cjui kutongoza, au naona uvivu, au natafuta great thnkr mwenzangu ili niweze kufanikisha azma yangu.
Kwa kina dada na kina mama wa jf jamani nitafuteni ili 2angalie mchakato ukoje.

Uvivu na great thinker kwa kweli haviendani
 
jamani basi usijali hapo nilikwendaga senegal kwenye short course nlikua bado binti siku hizi nimezeeka nimenenepa kidogo kulipo hapo

mimi naona ndio utakuwa zaidi! hilo wenzere tu, si utasababisha wakware wapate accident wakikugeukia? weka ya sasa basi.
 
Back
Top Bottom