JERUSALEM 2006
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 527
- 596
Jamani salama!
Nilikua na mpenzi niliempata facebook lakini yuko nje ya TZ, nikapata mwengin wa twittr ambye alikua celebrity toka Niger xo 2kashndwana.
Nimeona nitafute kutoka hapa jf labda atakua mtanzania na atanifaa, aliyetayari ani PM, she must b aged 18-30.
Ili jamvi sasa linageuka kuwa mahali pakuondolea stress na si kuleta hoja, wewe kama ni mtanzania unakutana na watu kila siku umeshindwaje kumpata mpaka ukaja kutafuta humu
mmmh! huko kote umeshindwa lol hamia na bongo blog kule utawapata wengi tu ila humu jf wengi wake za watu.
1
.mke wa mtu uliwa na mtu,chuma uliwa na kutu.
nawapenda sana waalimu!
.
ni mwiko na sufuria yake
nami nawapenda sana wanafunzi makini kama wewe
asante kwa kulijua hilo, lakini mmm... nnn........
aaah! wewe mmm.........nnn.........tena?
Huwezi jua,labda cjui kutongoza, au naona uvivu, au natafuta great thnkr mwenzangu ili niweze kufanikisha azma yangu.
Kwa kina dada na kina mama wa jf jamani nitafuteni ili 2angalie mchakato ukoje.
mm..shida ni hapooooo kwenye hiyo.....avatar tu!
jamani basi usijali hapo nilikwendaga senegal kwenye short course nlikua bado binti siku hizi nimezeeka nimenenepa kidogo kulipo hapo