Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vema ukajifunza kwanza kolesteroli ni nini kwa kubonyeza: http://maajabuyamaji2.artisteer.net/kolesteroli/ hapo pia utajifunza namna ya kutumia maji kujitibu na kolesteroli/helemunataka niache kabisa kutumia vyakula vitakavyo nifanya nipate kolestral, nimeanza zoezi hilo mwezi huu lakini mara nyingi sana najikuta nashinda na njaa kwa kukosa au kutokujua nile/ nipike nini, msaada please wa mawazo
baadhi ya vyakula vyenye cholesterol kwa wingi ni kama mayai,nyama zenye mafuta ikiwemo kitimoto,mbuzi,ng'ombe etc, pia epuka kupikia animal oil na badala yake pikia vegetable oil.